Bidhaa na Huduma Zitolewazo
- 🏠HISA
Hisa ni kiwango cha pesa ambacho mwanachama anajiwekea kiasi cha 10,000/= kila mwezi. huwakilisha sehemu ya umiliki na anayo haki ya kupata gawio kutoka kwenye faida yake faida kwa kiwango kilichoamuliwa kutolewa. Mwana hisa anaaki ya kupiga kura kwenye mkutano mkuu - 💳 AKIBA YA LAZIMA
Hiki ni kiasi cha pesa ambacho mwanachanma anajiwekea kiasi cha 20,000/= kila mwezi kwa ajili ya baadae na hutumika kama dhamana faida kila mwaka. -
SIFA NA FAIDA ZA AKIBA YA LAZIMA NA HIARI
- - Haina gharama ya uendeshaji kwa mwanachama, huduma hii humuwezesha mwanachama kufikia lengo, sababu huweza kuweka pesa yake kidogo kwa muda mlefu
- - Mfumo wa uwekezaji ni rahisi mwanachama anaweza kuongeza kiwango cha kujiwekea kufikia lengo mfano pesa ya likizo na kiazio wakati wa kustafu.
- - Huwezesha mwanachama kukopa mara tatu ya aliojiwekea kwa kuzingatia kanuni za mikopo.
- - Riba nzuri hutolewa mwaka kwa mwaka na inawezwa kuboreshwa kulingana na wakati.
- 💳 AKIBA YA HIARI
Hiki ni kiasi cha pesa ambacho mwanachama hujiwekea kima cha chini 15,000/= kila mwezi. na humsaidia pale anapokua na dharura. Pia anaweza kuweka zaidi ya kiwango tajwa kulingana na malengo yake na endapo hatatoa kwa mwaka mzima hupata faida. - 🚗 AMANA
- - AMANA YA KAWAIDA
Ni mfumo wa mwanachama au mteja kujiwekea pesa kwa ajili ya kukidhi haja mbalimbali wakati wowote. - - SIFA NA FAIDA ZAKE
Mwana chama yoyote anaweza kutumia huduma hii. Mwanachama anaweza kuchukua pesa kutoka kwenye akaunti hii wakati wowote. - - AMANA YA MUDA MAALUMU
Ni mfumo wa mwanachama au mteja kujiwekea pesa kwa muda maalumu yenye 12% kwa mwaka.
- - AMANA YA KAWAIDA