Faida za Uanachama
- 🏦 Kuwa mmoja wa wamiliki wa chama
- 💰 Upatikanaji wa mikopo yenye riba na masharti nafuu
- 🏦 Kupata mikopo yenye riba na masharti nafuu
- 🎓 Mafunzo na elimu ya kifedha kwa wanachama
- 🤝 Ushirikiano na wanachama wengine
- 💰 Kupata faida nono kwenye akiba na amana
- 🤝 Ushauri na semina mbali mbali kwa mwanachama
- 🤝 Kuendelea kuwa mwanachama hata baada ya kustaafu
- 🤝 Mwanachama alieyestafu anaruhusiwa kuendelea na uanachama
- 🤝 Kuwa mmoja wa wamiliki wa chama